. . السلام عليكم ورحمة الله وبركاته
Umoja wawahadhiri wakiislam tanzania
(UWAKTA)
Una waalika waislam wote katika kongamano la kumbu kumbu na dua juu ya ma shujaa wana harakati wa da.wa na tukio la mwembe chai lililo ibua historia kubwa katika harakati za dini tukufu ya uislam nchini
Lengo la kongamano hilo
Ni kuwakumbuka mashujaa walio husika katika tukio lamwembe chai nakuwaombea dua mashekh wetu walio tangulia mbele za haq
Pia kuzungumzia qadhia ya mashekh na wanaharakani walioko matesoni magerezani na kwingineko
Shime alayku wailam tuhudhurie kwawingi
Kongamano lita fanyila
Tare 12 mwezi wa 2 mwaka huu 2017
Itakua siku ya juma pili. Litafanyikia
Msikiti wa mwembe chai TIC
Wageni kutokanchi za jirani wataanza kupokelewa j mos
Pia wahadhir wakubwa wahapa nchini watakuwepo
Na uongozi mzima wa Umoja wawahadhiri wakiislam Tanzania (uwakta)
Nyooote mna karibishwa
Share na wengine wapate taarifa hii sambaza katika mitandao ya kijamii
Je uta fika wewe ???? Katika siku hiyo
JibuFutaMaasha Allah.
JibuFutaInshallah tutajitahidi.
JibuFutaNaomba kuuliza vipi unaweza kuwa mwanachama kwenye umoja hu