UMOJA WAWAHADHIRIbWAKISLAM TANZANIA
Kwaufupi (UWAKTA)
Nitaasisi yakislam ilio anzishwa na wahadhiri wakiislam watanzania
Ndugu mwislam
Tukirudi nyuma kifikra tuka kumbuka kua asilimia kubwa ya wale mashekh walio tupa mwanga wa kazi hii ya kufanya mihadhara wengi wao washa tangulia mbele za haq
(Allah awarehemu huko waliko)
Kazi ikabaki Nikonini mwa wale walio jifunza zani na sasa
Kazi hii ilifaana sana kutoka ilipo anzishwa mpaka miaka ya 2005
Ambapo kazi hii ilianza kupata misukosuko ya wazi kama kukamatwa kwa wahadhiri na kutiwa ndani kunyimwa vibali na k:
TUKUMBUKE FAIDA ZA MIHADHARA ambayo asili yake ni vitabu vinne (torat zaburi injili na qur.an)
Ilifanya vazi LA kanzu kuheshimiwa mpaka sasa nikawaida kumuona MTU akiwa ofisini na kanzu na kofia
Mtiririko was waislam wanao ritadi kwakuuacha uislam kwa miujiza au msaada pia ulipungua kutokana na na ukweli ulio simamiwa na wahadhiri
Nihayo na mengine mengi ambayo mihadhara ya kiislam ilikua ni sababu ya kufahamika
KUPUNGUA KWA NIHADHARA
YA VITABU VINNE KWASASA
Hii INA sababishwa na mabadiliko ya utendaji wamihadhara hiyo wahadhir wengi sasa kufanya mihadhara inayo wahusu waislam tu kiitikadi hivyo kupungua ufanisi wamihadhara ya vitabu vinne walimu wamihadhara hiyo kutoweka dunian wakati vijana wano takiwa kujifunza mijadala hiyo wakowa bize a maslahi ya dunia tu
KUTIZAMWA TOFAUTI KWA WAHADHIRI NAWAISLAM
Hali ya zamani na sasa nitofaut kwa wahadhir wakiislam. Zamani wahadhiri walikubalika mbelebya waislam waliitwa mahala wanapo hitajika walichangiwa gharama za uendeshaji mikutani bila lawama waliheshimika mahala walipo onekana heshma yao ilikuwa kubwa matamko yao yaliheshimiwa na waislam Tanzania. Waliaminiwa nakusikilizwa kila mahala mihadhara ya wahadhiri ilijaa watu kwa matangazo machache tu wakati mwingine matanagazo hayakufanyika lakin watu walijaa viwanjani
LEO HII
Wahadhiri wengi wajazaraulika ispokua wachache. Mihadhara ili iwe na watu wengi matangazo yafanyike sana magari ya pite vipeperushi na na hata vipindi vya redio na TV pia matangazo ya dizainiwe ili ya waguse watu. Wakati zamani walipo sema kutakuana kuhadhara maeneo Fulani wahadhiri fulani watakuepo ili tosha ni tofauti na sasa
Imefikia wakati ukijulikana wewe ni mhadhiri nafas msikitini hupewi
Baada yawa hadhiri wanao jitambua kulitizama hili wakagundua
Baadhi ya watu hukurupuka kufanya mihadhara jali hawana elimunayo
Pia watu wanaharibu mazingira ya dini kwa nembi ya uhadhiri
Wengine kukosa kujua kanuni za kazi hiii hivyo kuifanya kimakosa
Pia kutoweka kwa ikhlaswi kwa wahubiri wengi
NDIPO
Wahadhiri wakiislam wakaamua kuanzisha taasisi hii ya (UWAKTA))
Lengo
Ni kurejesha hadhi ya uislam kupitia mihadhara
Kurejesha hadhi ya mihadhara ya kiislam
Kudhibiti wanao haribu dini kwa nembo ya uhadhiri
Kuwadhibiti hata wahadhiri wano haribu kwa kua na Uhuru ulo pitiliza
Pia kuhakikisha waislam wana pata faida zitokanazo na mihadhara na wahadhiri
Iki lengi lingine LA taasisi hii ni
Kuandaa miradi itakayo saidia kujenga shule na vyuo vyakielimu
Hospitali kwajili ya tiba zakisheria
Ajira kwa vijana na wazee
Ili kukamilisha hayo
Taasisi ya Umoja
Ikiongozwa na viongozi mahiri
Pamoja na amiir shekh raajabu juma alqushairiya
Ina utaratibu
Wakusajili wahadhiri woote Tanzania na nyadhifa zaobna aina ya harakati zao
Nakutoa vitambulisho kwa wahadhiri hao
Hii itasaidi kufaham nchi yetu ina wahadhir wangapi
Pia akipata tatizo mmoja wetu kufaham kiurahisi
Na kusaidiana pia
Umoja itashirikiana na taasisi zingine zakiislam kukamilisha malengo
Hii nisehem ya kwanza inayo uhusu Umoja wawahadhir wakiislam Tanzania
Utazidi kupata taarifa zaidi inshaallah
Tafadhali toa maoni yako hapa chini juu ya namna ulivyo elewa
Nadhani amiir raajabu umekua MTU wakwanza kuipitia hii acha neno hapa chini inshaalla
JibuFuta