. SIMULIZI YA KUSISIMU
(MUNGU WANGU HAJA NIACHA)
Sehem ya pilli
Dr hud hud
Www.mrhudhud.blogspot.com
Alhabiibhudhud@gmail.com.com
Usiku ule story iliishia pale pale ikabidi tuka lale hatimae asubuhi na mapema nikaamka nkajiandaa kwenda shule haikua mbali na nyumbani jioni yake nilitamani mama amalizie story lakini sikupenda kumuona maa akiwa analia machozi nili nyamaza mama alikua akifanya biashara ndogondo sokoni Nazo hazikua nafaida sana kias kwamba wakati mwingine tulilala njaa Siku moja nilimueleza mama kua inaitajika Pesa shuleni ya kumlipa mlinzi pia nami sina daftar za kutosha masomo yangu mama aliamua kuniagiza kwa baba kazini kwake lakin baba hakunipa kwakusema hana pesha hajauza chochote toka asubui hali hii ili muudhi mama Mara kwamara kwakua baba haku nihudimia chochote sichakua malazi wala mahitaji ya shule hatimae mama aliamua kwenda ustawi wajamii kushtaki baba aliitwa alipo kuja akasema kua yeye hawezi kuni hudumia ningali lwa mama labda nikaish kwake ikabid ofis za serikali zifanye maamuzi kua kunzia wakati huo niende kuish kwa baba binafs nilifurahu sana maana nilitaman kua karibu na baba tukarudi nyumbilani mama akaniandaa na kuni fungashia nguo zangu kwenye Rambo lakin uso wa mama ulionyesha wazi kua hakupenda niende huko lakin tayar ni agizo LA serikali Hakua na jins jioni yake niilienda kwababa hapa kua mbali sana nilitembe a kiss cha nusu SAA hatimae nkafika nakupokelewa na mke wa baba Tatar kuyaanza maisha ya hapo lakini nilikimbuka kaul moja ya mama wakati ananiandaa alisema @sasa unaenda kuish kwa mama wakambo kua makin utundu hacha yule mama yako was kambo ana roho mbaya+ maneno hayo yalijirudia kichwani mwangu huku nikijisemea -huyu ndo mama wakambo mbona hana hat shida +akili nyingine ikanambia baba yupo haina shida
Itaendelea sehem ya 3
Je maisha ya jumannw kwa mama wakambo ya takuaje
Usikose sehem ya 3
By mtunzi
Dr hud hud
Alhabiibhudhud@gmail.com
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni