. SIMULIZI YA KUSISIMUA
((MUNGU WANGU HAJA NIACHA))
Sehem ya 3
Msimuliaji
Dr hud hud
Www.mrhudhud.blogspot.com
Tunaendelea na sehem ya 3
Maisha yangu kwa mama wakambo yalianza mwanzoni sikupata shida wala tabu yetote lakin ikifikia wakati nikaikumbuka filam y kitanzania ilio chezwa na wabongo miaka hiyi ilio kua na jina @mama wakambo si mama@
Kwani dhahir nilianza kuumiss upendo wa mama yangu ambae alinijali . alinipenda na kuni thamin nilipo umwa alilia na kuhangaika
Wakati huu chakula changu kilikua chashida kwani nilipewa chakula peke yangu tena nilipo toka shule nakukuta wamekula bas nami nililazimika kutoka kula kes za udokozi nyingi nilipewa Mimi ilimradi niadhibiwe tu shule niliazima kalamu na nilipo kosa wa kuni azima bas sikuandika somo lolote siku hiyo na adhabu ya mwalimu zinili husu asubuhi niliosha viombo nika fagia nyumba hadi uani zamu ya usafi tena kwa ugauzi wa mama mdogo nilichelewa shule Mara kwamara kwakweli maisha nilio yaish kwa mama wakambo yalikua y mateso hasa sikutakiwa kushtaki kwa baba neno lolote naye hakujua lolote kwani alitoka alfajir kwenda msikitini hakurud akapitiliza kazini na kurud sa tatu au NNE usiku hakupat muda wa kuongea na mi .
Sikupat nafasi yakwend hata kwa mama kumsalimu nika jikuta nalazimika kuya zoea maisha ya mama wakambo
Siku moja nilitoka shule majira ya SAA nane nanusu nilipo fika nyumbani nilikua na njaa ukizingatia Jana yake usiku sikula kwakua nili kua na kosa LA mchana ambapo niilikata kamba iliokua imeanikiwa nguo bahat mbaya BA's adhabu yake usiku sikula nilipo fika nyumbani nikaimba chakula mamadogo akanambia niende jikoni ni kachukue nikaenda jikoni nikakuta ugali nkapakua na mlenda wa bamia mboga ambayo sikuipendaga sana nilipendaga sana mlenda wa kusaga lakin wabamia sikuupendaga sana .sikua na ujanja wa kukataa kwa kuhofiamajibu na adhabu kutoka kwa mama asie na huruma wakati na kula nikaliona sufuria likiwa limefunikwa vizuri akili za utoto zikanituma nifunue nilipo funua nikakutana na nyama ilio rostiwa vizur kwa haraka nika funika nakurud mahala pangu Mara hii tonge LA mlenda halikufika kinywani na hata nilipo fanikiwa kulitafuna nilipata shida kuliy meza ladha yote ilipotea kumbukumbu za kuuchukia mlenda wa bamia zika tawala kichwani mwangu Nika waza ni kwanini ndipo nika gundua ni kwakua nimeona nyama ghafla madogo akapita nikajikut bila kufikiri ni kantanyua kinywa changua na kusema @mamdogo naomba mchuzi@kisha nika tulia kusubiria majibu yamvua na adhabu lakin yeye alanitazama bila ya kusemaneno akachukua bakuli aka weka mchuzi na nyama moja kisha akaingia na bakuli ndani Mara akatoka akiwa ana changanya siku jiuliza kwanin aliingia nalo ndani naje alikua akichanganya nini nikicho waza tu Mimi ni utam wa nyama bakuli lika wekwa chini @haya kula haraka haraka kuna kazi zina kusubir@yalikua ni maneno yake kish akaondoka nami nikaanza kula dakika chache baada nikachukua nyama na kueka mdomoni nika anza kuinyonya mfano wa embe mshumaa muda kidigo kizungu zungu na maumivi ya kichwa ya kaanza kunitawala nikanyanyuka na kujitupa kitandani nikalala kifudi fudi dakika chache sikujitambua ninapo kuja kujitambua ni usiku Nokia na drip ya maji mkono wangu wakushoto namuona mama yangua mzazia kiwa analia nilipo tizama lokation kwa makin nikagundua ni hospital nikakoha kidogo kwa saut hali ilo wafanya watu wote kusimama hadi wagonjwa walio vitandani walinyanyuka niliskia sauti ikiniita @jumanne MWANANGU @
Niilitambua ni sauti ya mama yangu Mzazi nami nika itika naaam hapo nikaskia MGONJWA mmoja akitamka @mungu mkubwa Sikh yanne Leo ndo ana pata faham kama MTU alie fufuka @maneno hayo yali ustua ubongo wangu nikapoteza faham na sikujitambua tena
Itaendelea sehem ya 4
Je nini kiliendelea baada ya kupoteza aham je nini kilisababisha awepo hospitality siku NNE bila kiji tambua
Usikose sehem ya 4
Tembelea blog yangu
Www.mrhudhud.blogspot.com
Au tuma ujumbe kwa emali
Alhabiibhudhud@gmail.com
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni