. MUNGU WANGU HAJA NIACHA
Sehem ya 4
Www.mrhudhud.blogspot.com
Ilikua ni usiku palipo kucha asubui nikashktuka hapo siku muona yeyote kat ya watu nnao wajua nikashuka kitandani nakusimama taratibu nikaanza kusogelea mlango wa wodi huku wagonjwa wengine kama watatu hivi wakiwa vitandani mwao nilipo toka nje ya word nikajihis mwepes Sana kama karatasi maana sikuweza kutembea Bali ni kukimbia tu nika zunguka maeneo kadhaa Mara nikaskia sauti ikiita@jumanne mwanangu@
Niliitambua ni Sauti ya mama nikageuka nakuitika @naaam@mama akani kumbatia kW mda kidogo huku machozi ya kimtoka akatamka kwa sauti ya chini akisema@MUNGU WANGU HAJA NIACHA@ kisha akaniuliza @unajiskiaje mwanagu@nikamjibu@vizuri mama ila njaa INA niuma@ Bas MWANANGU twende ndani uka sbiri nkakitaftie chakula@ hapo tuabrudi wodin na mama kila alipo taka kutoka kuni taftia chakula bas watu walio fahamian waliingia na kunijulia hali mda simref mamdogo make wa baba (mama yangu wakambo) akaingia na chakula na mi sikua na kumbuka chochote kumhusu yeye nikatizama chakula alicho leta ni wali na maharage. Kweli aliniweza maana ndo chaKula nnacho kipenda nikila bila kubakisha nilikaa hospitality siku tatu nikiwa na jitambua siku ya NNE tuliruhusiwa nakuondoka nje ya hospitali mama MZAZ na mama wa kambo waliongea namama akataka niongozane nae had nyumbani tulipo fika nyumbani niliwakuta wa dogo zangu wawili nuru na yasini wakanipa pole hapo nika pata swali LA kumuuliza mama @hiv mama mimi hospitali nilipelekwa Lin na nilikua naumwa nin@swali hili lili mfanya mama kwa dakika kadha kisha akaniambia @pumzika mwangu ule alaf jion ntakwambia@ ilipo fika jioni nili mkumbusha mama juu ya swali langu hapo akaanza kuni ambia
@mimi nikiwa nyumbani mama yako mdogo alikuja hakuingia ndani akanambia jumanne anaumwa nika muuliza nini tatizo akanambia homa bas nika mwambia ntaenda kumuona yeye akaondoka nikaanza kunawa nikijua waumwa homa ya kawaida wakati na nawa akaja bibi mama hamis wa mitunduruni yeye alikuja na hasira @mama Jumanne una Fanya nini @nikamjibu nimeambiwa Jumanne anaumwa na nawa niende sokoni nipitie na huko@bibi akajibubkwa hasira@naona ume mchoka kwanobmpumbavu nibora roho ya mwanao ikatie mikononi mwako wahi ospitali mwanao anakufa @ hapo Nili changanyikiwa nika jikuta mtandio wa kichwani nine jifunga kiunoni sia wahi tembea kichwa wazi lakin sikuwaza hilo nikaondoka mbio na kumuacha bib nikiwa nijiani watu walinishangaa lakin sijujali maneno ya bibi mama hamis yalijirudia kichwani mwangu huku moyoni nikijisemea mwangu Jumanne ndo kafa au nin tatizo hapo nika jikuta natamka kwasauti @MUNGU WANGU NAKUOMBA USINIACHE @ dakika 20 nilifika hospitali sikuwaza ntakupataje nikasikia sautu ikiniita @mama Jumanne nihuku@ watu walio nifaham waliniita na kunielekeza word hadi kitanda uliopo hapo nili kukuta umesha kaka maaa macho ya megeuka na kua meupe wabibi waliopo hapo waliniusi @funga utumbo@hapo niliaminibkua ushakufa sikujua machozi yalikua wapi hayakutoka sijui nilitamani nini mbele yangu ni kamuona jirani wa baba yako nika muuliza @mama neema kime mkuta mwangu@ akanivuta pembeni na kuanza kuniambia
Itaendelea sehem ya 5
Kwa ushauri au maoni
Email
Alhabiibhudhud@gmail.com
Au tembelea blog yangu
Www.mrhudhud.blogspot.com
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni