. .. HABARI NJEMA
. .. ZIJUE FAIDA KUMI ZA KUNYWA MAJI YA MADAFU.
Maziwa ya nazi, mafuta ya nazi pamoja na maji ya madafu ni bidhaa ama malighafi zinazo tokana na mti wa mnazi.
Bidhaa hizi zina faida kubwa sana katika afya ya mwanadamu.
Huko nyuma tumewahi kuandika kuhusu maziwa ya nazi pamoja na mafuta ya nazi.
Katika makala ya leo tutazungumza kuhusu maji ya madafu, ambapo tutapata kuzifahamu faida kumi zitokanazo na kunywa maji ya madafu.
Maji ya madafu ni maarufu sana miongoni mwa wenyeji wa mikoa inayo patikana katika ukanda wa pwani ya Tanzania.
Pamoja na kutumika kama kinywaji kwa ajili ya kuondoa kiu, maji ya madafu yana faida lukuki kwa afya ya mwanadamu.
Siku ya leo tutapata kuzitazama faida kumi za maji ya madafu.
1. Yanazuia Upungufu wa Maji Mwilini.
2. Yanaimarisha ubongo na misuli
3. Maji ya madafu yanasaidia kuzuia muonekano wa kizee
(anti-aging ): Matumizi ya mara kwa mara ya maji ya madafu yatakufanya uonekane na kijana hata kama umri wako umeenda. Kuwa na uwezo wa kuzuia muonekano wa uzee ni miongoni mwa sababu zinazo yafanya maji ya madafu yawe maarufu sana miongoni mwa wasanii wanao igiza filamu katika huko Hollywood nchini Marekani.
4. Maji ya madafu yanasaidia kuimarisha mfumo wa usagaji chakula tumboni.
5.Maji ya madafu yanasaidia kuimarisha mfumo wa kinga ya mwili.
6. Maji ya madafu yanasaidia kukukinga dhidi ya magonjwa ya moyo pamoja na presha.
7. Maji ya madafu yana utajiri mkubwa sana wa vitamin mbalimbali, amino acids,vimen’genyo, viondoa sumu pamoja na virutubisho mbalimbali.
8. Maji ya madafu yana kiasi kidogo cha kalori
9. Maji ya madafu yanasaidia kuunyambua mwili.
10. Maji ya madafu yana imarisha mzunguko wa damu mwili.
UNANGOJA NINI? ANZA KUTUMIA MAJI YA MADAFU LEO UPATE FAIDA KIBAO ZA KIAFYA.
Cont;
0684549105
0672930143
Gmail
Alhabiibhudhud@gmail.com.
Visit my blog
Www.mrhudhud.blogspot.com
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni